SABABU ZINAZO ATHIRI MATAIRI. (FACTOR AFFECTING TYRE LIFE.)

TYRE/TAIRI 

Nisehemu ya nje ya grudumu(Is outer part of the wheel.)

 1. Namna ya ujazaji upepo.   Unapojaza upepo kwenye matairi in sharti uangalie usijaze kupita kiasi au kupunguza kupita kiasi ambavyo mtengenezaji anataka.
 2. Barabara kutokuwa na kiwango.(Rough road). Unakutaka barabara ina mashimo mashimo hiyo no rahisi kumaliza tari.
 3. Ubebaji wa mizigo unao pita kiasi.(Improper loading of vehicle)
 4. Uendeshaji mbovu (Driving habits).Kumbuka hii ndio hutumiwa na wtu wengi wasijue kuwa wana maliza matairi.  Ikiwa ni kama ifuatavyo.  
 1. Mwendo kasi(over speed)
 2.  Quickly starts and suddenly stops.
 3. Kugeuka ghafla kwa mwendo kasi(sharp turns at high speed.nk.
 4. 5. Mpangilio mbovu wa matairi (Incorrect wheel alignment) 

  6. Kukosekana kwa uwiano kwenye matairi(Incorrect wheel balance)

  7. Mizunguko ya Mara kwa mara/safari za kila Mara(frequency rotation)

  8. Bodi kutokuwa sawa (Incorrect body balance). Unakuta bodi liko upande au tenge hivyo uzito wa gari unakuwa upande mmoja hiyo kusababisha tairi la upande huo kuisha haraka.


  LEFUSHA MAISHA YA TAIRI KWA KUFUTA HAYA. (LENGTHENE THE LIFE OF YOUR TIRE INCLUDING THESE.)

  • Jaza upepo kwa kufuata maelekezo ya mtengenezaji.(Maintain the proper tire pressure.)
  • Epuka kuzidisha mizigo kwenye gari/weka mizigo kama anavyo elekeza mtengenezaji.(Avoid loading the vehicle with more weight than the manufacture advises.
  • Epuka hatari za barabarani( Avoid road risk.)
  • Kagua tairi lako mipasuko (Inspect your tire for cuts,slashes, and deformities.


  Advertisements

  Leave a Reply

  Fill in your details below or click an icon to log in:

  WordPress.com Logo

  You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

  Google+ photo

  You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

  Twitter picture

  You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

  Facebook photo

  You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

  Connecting to %s