TOFAUTI KATI YA CHUJIO LA OIL (OIL FILTER) NA CHUJIO LA MAFUTA (FUEL FILTER).

Tunapo ongelea chujio la mafuta siyo ya kupaka ni mafuta yale ambayo yanayo tumika kwenye magari.

Tofauti ni kama ifuatavyo.

CHUJIO LA OIL(OIL FILTER)

Chujio la oil hutumika oil inayoingia kwenye injini nakuondo uchafu. Kawaida chujio hili hubadilishwa kwa kadirio la 3000mile au kila unapo badilisha oil.

CHUJIO LA MAFUTA (FUEL FILTER)

Chujuo la mafuta lipo kwa ajiri ya kuchuja mafuta ambayo yanayo ingia kwenye injini bada ya kutoka kwenye tank la mafuta. Chujio hili hutegemea na toleo la mtengenezaji na matumizi yake, hubadilishwa inapofikia 35000mile.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s