AN ENGINE FAILURE.

An Engine failure.
Ni ile hali ya injini kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi.
Injini inaposhindwa kufanya kazi gari haliwezi likafanya kazi, hivyo injini hupata shida mbalimbali ambazo zinaweza kusababisha injini isifanye kazi kwa ufanisi. Kwaleo ntazitaja tu lakini fuatilia toleo lijalo utapata ufafanuzi mzuri.
(1) ENGINE OVERHEATING(Excessive heat). Kiwango cha joto kuzidi ndani ya injini.

(2) LUBLICATION(Lack of thereof). Kupungua/kuisha kwa ubora wa oil.

(3) DETONATION(Spark knock) kushindwa kufanya kazi kwa spark plug/kutokutoa cheche yenye nguvu.

(4) MISS ASSEMBLE(OPPS!) Kukosea kurudishia wakati wa matengenezo.

Tukutane toleo lijalo kwa maelezo zaidi.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s